Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saivi ndipo nimekumbuka Yale mawazo yangu ya kuacha chuo kuwa yalikuwa sahihi. Sasa hivi kwa madeni niliyonayo naenda kutumia pesa yote kwa ajiri ya kulipa madeni tu. Sasa ninachojiuliza Ni kwamba baada ya kufanya paper mimi naendaje mtaani make nipo finalist.
Kulipa ada na kuacha ili nikaanze maisha kitaani kipi bora?