Heslb tayari kimenuka! Mambo si mabaya

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,727
Reaction score
6,615
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
 
ebana kwa mimi wa dit na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
we ulipeleka jina lako jana wizara ya elimu au?
 
we ulipeleka jina lako jana wizara ya elimu au?

hapana mwana mi niko huku mikoani nilikuwa mbele wala nyuma ila nimecheki leo pamoja na wenzangu wa chuo cha maji mambo yametiki mwana!!!!!!! ila nasikia kesho ndo walikuwa wanataka watoe majina ya waliopata na waliokosa ila leo ndo wakayatoa! ila ni kwa wale wa diploma!!!!!!
 
f6 watatoa lini maana jana 2liandika majina sa cjui ndo kesho au?
 
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!

dah, mdau hata mm ni DIT lakn mambo bado hayajawa njema aisee, MECHANICAL ENGENEERING
 
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!

Telecom DIT kwa equivalent but still not secured,dah na registration wik end hii balaaa hili
 
water resources& irrigation engineering .nimeshinda! 100% mwanzo ilikuwa not sebured
 
sorry l mean ilikuwa not secured! So wadau chekini kwanza. Ila tupo p1 hiyo kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…