MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we ulipeleka jina lako jana wizara ya elimu au?ebana kwa mimi wa dit na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
we ulipeleka jina lako jana wizara ya elimu au?
f6 watatoa lini maana jana 2liandika majina sa cjui ndo kesho au?hapana mwana mi niko huku mikoani nilikuwa mbele wala nyuma ila nimecheki leo pamoja na wenzangu wa chuo cha maji mambo yametiki mwana!!!!!!! Ila nasikia kesho ndo walikuwa wanataka watoe majina ya waliopata na waliokosa ila leo ndo wakayatoa! Ila ni kwa wale wa diploma!!!!!!
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
dah, mdau hata mm ni DIT lakn mambo bado hayajawa njema aisee, MECHANICAL ENGENEERING
Ebana kwa mimi wa DIT na wale wenzangu wa chuo cha maji mkopo umetoka na tumebahatika kupata mikopo 80% ila kuna wengine naona mambo yao hayajakaa fresh bado!
F6 au diploma?