Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,240
umemsoma ehh, jamaa kaja kwa mbwembwe akaanza kukejeli bila kuangalia mada inasema vp...inasikitisha sana. 🙁ni km anakejeli waliokosa!, km ipo ipo tu, hainaga haja ya ''kutembea kifua mbele km umepigwa ngumi ya mgongo" nukuu toka Fid Q.