Heslb + tcu+ second batch+ mauaji

Heslb + tcu+ second batch+ mauaji

dodoso

Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
41
Reaction score
8
Haki ya Mungu kama HESLB hamtakuwa wazi na kusema kama kuna kitu kinachoitwa SECOND BATCH, mtasababisha mauaji mitaani. nina imani na hakika kwamba huyu mnayemwita TAPELI ametumia mwanya wa SECOND BATCH kujipatia mamilioni ya wanafunzi walioomba mikopo wakakosa na hata kile kidogo walicho nacho TAPELI WA HESLB amekichukua. wote tuliokosa mikopo tuko tayari kufanya lolote ili mradi tupate huo mkopo na hasa kwenye hiyo second batch kama kweli ipo, sasa mnafikiri huyu jamaa atapona??? subirini mtasikia.
 
Hapo huwezi kupata hata siku moja.kama ya kwanza imekupita ndo imetoka
 
Punguza jazba! Wenzako walisort wakdai haki hvohvo! Muulize dk.
 
Back
Top Bottom