Haki ya Mungu kama HESLB hamtakuwa wazi na kusema kama kuna kitu kinachoitwa SECOND BATCH, mtasababisha mauaji mitaani. nina imani na hakika kwamba huyu mnayemwita TAPELI ametumia mwanya wa SECOND BATCH kujipatia mamilioni ya wanafunzi walioomba mikopo wakakosa na hata kile kidogo walicho nacho TAPELI WA HESLB amekichukua. wote tuliokosa mikopo tuko tayari kufanya lolote ili mradi tupate huo mkopo na hasa kwenye hiyo second batch kama kweli ipo, sasa mnafikiri huyu jamaa atapona??? subirini mtasikia.