Heslb+tcu tetesi ya kweli

SODOKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,656
Reaction score
722
TCU wanatoa majina ya transfer na batch za loanboard zinatoka before sept 23.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year.
source;INAAMINIKA
 
Mkuu hiyo source ya habar yako nimeipenda sana.
 
TCU wanatoa majina ya transfer sept 17 afu batch za loanboard zinatoka before sept 20.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year.
source;INAAMINIKA

.........loading....... till 25 sept for HESLB about tcu tupa kuleee
 
Duuh haya mambo yanachanganya tu kwani watu wanasubiri third batch wengine transfer sasa haijulikana inakuwaje hapa.
 
Sasa mnaomtusi mleta mada ili iweje? Mnataka msipewe taarifa muhimu siku nyingine? Mbona mnafanya watu wenye busara wapachukie hapa JE? Sasa hapa Mkuu SODOKA kosa lake nini? Nyie ndio wale ninaowaita Zero Thinker
 
salute kaka
 
Labda nimesoma vibaya comments za hapo juu....eti Pompoo ni wapi mleta uzi katukanwa????
 
Last edited by a moderator:
TCU wanatoa majina ya transfer sept 17 afu batch za loanboard zinatoka before sept 20.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year.
source;INAAMINIKA

vitu vingine vinajulikana tu automatic sio mpaka ujisumbue kufikiri kuwapa watu habari kwa kuangalia tu tr za heslb kutoa zimeyoyoma kila mtu anafaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…