GIBEBE SUGUTI
New Member
- Aug 24, 2013
- 1
- 0
so inamaana S's watoto wa wakulima tunaendaje chuo na j3 kuripot au wamebadilisha tar plz tell mi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebwana...Si, jana nikawapigia cmu Tcu!kuhusu third batch inakuweje?
Wakanijibu kuwa leo watayaweka majina,,so sijui kama wamefanya hivyo !ama ni blaah blaah!
tuibie kasiri bwana please!mnaongea mengi lait mngejua yanayoendelea huku bodi wala msingeongea nawaonea huruma wadogo zangu
mnaongea mengi lait mngejua yanayoendelea huku bodi wala msingeongea nawaonea huruma wadogo zangu
Wasomi Hatuendi hivo mkuu,kabla hujakaa futa kwanza vumbi...
We jibu kwanza swali langu then uulize lako
mnaongea mengi lait mngejua yanayoendelea huku bodi wala msingeongea nawaonea huruma wadogo zangu
Achana na Pompoo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kama ram ya calculator. Lakini je enzi uko 824kj kiumeni ulikua unafuta vumbi kabla ya kukaa..!
ivi third batch ndo transfer batch??