Heslb+tcu tetesi ya kweli

so inamaana S's watoto wa wakulima tunaendaje chuo na j3 kuripot au wamebadilisha tar plz tell mi
 
Manyoya hayoooooooooooooooooooooooo!! Vijogoo wa jf utafikiri mtandao wa bibi yao!!!!!!!!!
 
Ebwana...Si, jana nikawapigia cmu Tcu!kuhusu third batch inakuweje?
Wakanijibu kuwa leo watayaweka majina,,so sijui kama wamefanya hivyo !ama ni blaah blaah!
 
vitu vingine vinajulikana tu automatic sio mpaka ujisumbue kufikiri kuwapa watu habari kwa kuangalia tu tr za heslb kutoa zimeyoyoma kila mtu anafaham

naona wewe ndo utaweka picha sasa
 
Ebwana...Si, jana nikawapigia cmu Tcu!kuhusu third batch inakuweje?
Wakanijibu kuwa leo watayaweka majina,,so sijui kama wamefanya hivyo !ama ni blaah blaah!

ivi third batch ndo transfer batch??
 
Ebwana...Si, jana nikawapigia cmu Tcu!kuhusu third batch inakuweje?
Wakanijibu kuwa leo watayaweka majina,,so sijui kama wamefanya hivyo !ama ni blaah blaah!

3rd round tayari na nimeingia kwenye ac yangu nimechaguliwa.
 
Tetesi ni tetesi tu hakuna kitu km tetesi ya ukweli. Otherwise ni taarifa kamili unaleta kwetu
 
Wasomi Hatuendi hivo mkuu,kabla hujakaa futa kwanza vumbi...
We jibu kwanza swali langu then uulize lako

Achana na Pompoo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kama ram ya calculator. Lakini je enzi uko 824kj kiumeni ulikua unafuta vumbi kabla ya kukaa..!
 
Last edited by a moderator:
mnaongea mengi lait mngejua yanayoendelea huku bodi wala msingeongea nawaonea huruma wadogo zangu

Tujuze kinachoendelea heslb kama unataarifa za uhakika. Usituonee huruma ila tupe taarifa zikiwa na ukweli wadau watangoja, hakuna ubishi.
 
Aya mambo kwa sasa ni keloooooooooooooooooooooo,,,,,,,kila siku next week,,,duuuuuuu:target:
 
Achana na Pompoo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kama ram ya calculator. Lakini je enzi uko 824kj kiumeni ulikua unafuta vumbi kabla ya kukaa..!

Sofa la jeshi halinaga vumbi kamanda....
We ulikua KJ gani etiii???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…