Heslb+tcu tetesi ya kweli

Achana na
Pompoo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kama
ram ya calculator. Lakini je enzi uko 824kj kiumeni ulikua unafuta vumbi
kabla ya kukaa..!

Ulipitia Jkt!! mbona kule hakufundishwi taarabu. Muone Mh Komba Akuchukue T.O.T uendeleze kipaji chako
 
Last edited by a moderator:
Ulipitia Jkt!! mbona kule hakufundishwi taarabu. Muone Mh Komba Akuchukue T.O.T uendeleze kipaji chako

huyu ndiye pompoo ukiskia mwngne ujue photocopy
 
Huyu jamaa aliyeanzisha uzi huu ni kweli TCU wametoa transfer?? Je heslb nao kimya ole wako tarehe 20 ipite hawaja toa hiyo source yako utatuamia.
 
Huyu jamaa aliyeanzisha uzi huu ni kweli TCU wametoa transfer?? Je heslb nao kimya ole wako tarehe 20 ipite hawaja toa hiyo source yako utatuamia.

subiri mpaka tar 20 tuone
 
habari zenu wadau.mwenye majina ya trabsfer naomba ayaweke kwani wengi we2 hatuna access ya computer.natanguliza shukran zangu
 
TCU wanatoa majina ya transfer na batch za loanboard zinatoka before sept 23.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year.
source;INAAMINIKA

Last edited by SODOKA ;
Today at 06 :44.
ikifika tarehe 22 uediti tena, sasa cheki ulivyo mnafiki na leo kitu unachosema tarehe 23 kinatoka leo utavyo umbuka tutusa wewe.
 
habari zenu wadau.mwenye majina ya trabsfer naomba ayaweke kwani wengi we2 hatuna access ya computer.natanguliza shukran zangu

"Trebsfer" nazani mwakani ila transfer jaribu kutembelea tcu.go.tz,na kama yametoka tayari wanajamvi watayaweka,kua na subira.
 
TCU wanatoa majina ya transfer na batch za loanboard zinatoka before sept 23.hizi ni habari za kweli wadogo zangu wa first year.
source;INAAMINIKA
mara ya kwanza ulisema tarehe 20....asa hivi ume edit umeweka tarehe 23...ikifika tarehe 22 utaedit tena utandika tarehe 27 nakuendelea
 
ikitokea nimiedit tena ujue ni mara ya mwisho then yanatoka but nadhan editing hazitavuka zaidi ya 3 coz mpaka sasa nimeedit mara moja tu
 
ni mtazamo tu,sio umbulula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…