HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
kama umeandikiwa not secured jamani kesho saa 4 twendeni kwenye ofice za heslb ili kuonyesha kua hawajatutendea haki zetu mkopo kwa mwanafunzi wa chuo ni Lazima...!!! Kwa nini course ni priority afu hatujapewa mkopo eti kisa mtu kasoma private school ndo kunyimwa mkopo hawajui kua wazazi wanakopa kupitia mashirika ya kukopesha ndo watoto wao waweze kusoma jamani kesho 2kutane pale heslb kwa ajili ya maandamano
 
Kusoma private haipaswi kuwa sababu je km darasa la 7 nilifeli..ningeendaje gov form1...hawatumii akili kabisa...
 
No zenu kwa watakaofka tuwe tunawacliana waheshimiwa ili mtuandikie majina yetu wale tulioko mbali kama watahitaji names.
 
kama umeandikiwa not secured jamani kesho saa 4 twendeni kwenye ofice za heslb ili kuonyesha kua hawajatutendea haki zetu mkopo kwa mwanafunzi wa chuo ni Lazima...!!! Kwa nini course ni priority afu hatujapewa mkopo eti kisa mtu kasoma private school ndo kunyimwa mkopo hawajui kua wazazi wanakopa kupitia mashirika ya kukopesha ndo watoto wao waweze kusoma jamani kesho 2kutane pale heslb kwa ajili ya maandamano

Kesho mguu kwa mguu
 
mimi nitakuepo mapema kabisa iyo kesho,pamoja twaweza kuleta mabadiliko
 
inshaallah,mwz.mungu atie wepesi juu ya jambo hili na kesho tuweze fika hapo ili kujua mustakabali wa mikopo yetu....
 
This is what i expect and need.
Stand for your right and together we can
 
angalieni kuna majina mapya yametolewa kila aliyekuwa kakosa naona amepata
 
Back
Top Bottom