HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

HESLB: tuliokosa mikopo kesho(ijumaa) tukutane ofisi zao mpaka kieleweke..

niko wizara hapa nawasubili tuungane kwa pamoja kudai haki yetu!!
 
tujuze kijana maana wengine tupo mikoani. yaani mpaka sasa sijasecure, dah au mimi si mlipa kodi?
 
Huku hakuna jipya tumeambwa bajeti imegoma! Hela ishaisha na washatuma vyuoni! Kilichobaki labda kuappel
 
Huku hakuna jipya tumeambwa bajeti imegoma! Hela ishaisha na washatuma vyuoni! Kilichobaki labda kuappel

Asante kwa kutujuza,nawatakia kila la kheri katika ku fight kupata ada MWENYEZI MUNGU yupo nasi na kwa uwezo wake tutafanikiwa.
 
Back
Top Bottom