Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
Ngoma ya kitoto haikeshi, ninapata tabu kuamini kwamba vijana wanafunzi wana backup sahihi. Jumuiya ya wazazi isaidie kuwakilisha mahtaji yanayohusu vijana wetu vyuoni na mashuleni kwa sababu haijalishi wana umri gani, lakini bado wanahitaji backups za nguzo ambazo sitegemezi.