mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge
Mwenye nacho anaongezewa kweli
Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90
Teana kuna mtu kanjuza et bod imekaa kikao tena so wanawait majib yuko bodi saivi
Mwenye nacho anaongezewa kweli
Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90
Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board