Heslb uozo mtupu...

Heslb uozo mtupu...

mungu wa ibrahim yupo na ameyaona machozi yetu, tutapata tu maana kujigharamia 10m miaka mi3 ni tatizo, tena ndo sie wasaka tonge
 
Mwenye nacho anaongezewa kweli
Nackia jamaa wa helbs kacema et wa2 wa appel then result ztakua ndan ya cku 90
 
Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board
 
Bodi wazinguzi hawana hata majibu watu tukaamua kusepa mwakilishi mwenyewe walie mtuma aje atusikilize nae hajui mambo kuhusu board

Kwani huyo jamaa ni mlinzi au...??
Sasa analipwa kwa kazi gani..??
Leaders of this coutry are over corrupted....
 
So mwenye ripot ya mwisho jaman alioko helbs ili tuomboleze ka mwisho zen 2angalie michakato mingine
 
Back
Top Bottom