Heslb utatema lini majina?

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
215
Reaction score
21
habari zenu wana jf?naomba mnifahamishe juu ya tarehe ambayo heslb itaweka majina ya walio apply mkopo wazi.over!!
 
Ngoja waje wafanyakazi wa heslb watakujibu.Mimi mwenyewe nasubiri watoe.
 
Bila uhakika nadhani ni baada ya diedline kwa wale walioomba transfer za coz na vyuo... Kua na subira.
 
Msiwe na Wasiwasi Vijana, Vijana elfu 40 wame apply vyuo vikuu kwa njia ya Central Admission Systm na Bod ya Mikopo itatoa Mikopo kwa waombaj Elfu 35 kwa hiyo kama ni Probability ni 0.8,Wazaz wenu hawakukosea 2010. Your Right is Our Responsibility! Kidumu chama cha Mapinduzi ,Udumu utawala thabiti na UTENDAJI uliotukuka wa Jakaya Kikwete!
 
4sure wana jf hawa heslb had wana cktisha coz raia walio b selectd vyuo vya private weng wanategemea kwnda next wk na bad m2 hajui ana category ip au katoswa! ni vema wakatoa mapema m2 ajue anajpangaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…