Heslb vip mkopo wa april mbona jordan-moro tunapata shida?au serikali imefulia.

Heslb vip mkopo wa april mbona jordan-moro tunapata shida?au serikali imefulia.

Kayabwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
385
Reaction score
86
CC wanachuo wa Jordan vip tupeni pesa.Tulitangulia kufungua kabla ya UDSM lakini eti wamepewa.Au kwakuwa cc ni wapole basi tupeni pamoja na upole wetu.
 
CC wanachuo wa Jordan vip tupeni pesa.Tulitangulia kufungua kabla ya UDSM lakini eti wamepewa.Au kwakuwa cc ni wapole basi tupeni pamoja na upole wetu.

unajua hivi vyuo vya kidayosisi vina mapungufu sana katika kufuatilia pesa za wanafunzi. Wao kwasababu wanakula mipoki na mivyakula mingine free of charge ndio maana haifuatilii hela zetu, lakini kwa safari hii wakizifixed fedha zetu na sisi tutawakomesha. Sasa hivi hata dayosisi kuna magamba, kama m anatuzingua. We ngoja tu.
 
he! hivi kuna chuo kikuu kinaitwa jordani hapa tz
 
he! hivi kuna chuo kikuu kinaitwa jordani hapa tz

Ushamba wako usiwaambukize wengine.Hoja ya msingi umeielewa?kama hujaelewa sio lazima uchangie."Na asiyetembea siku zote atamsifia mamake anajua kupika
"
 
Mkatoliki ana chuo cha kata??? Hamjui historia ya elimu ya nchi hii, na kama siyo azimio lenu sijui la arusha kutaifisha masli za makanisa Mngejua maharage sio mboga ila ni dawa ya usingizi
 
Ndo hivi vya kata vilivyoanzishwa miaka hii ya 2000.

wewe ni mmoja ya wale watu washamba, waliozaliwa kijijini, wakakulia kijijini,kusoma shule ya msingi na sekondari kijijini na advance mikoa ya nyanda za juu na kusini halafu ukabahatika kuchaguliwa na tcu udom, ndo unajiona mjanja kumbe hamnazo.
 
Kiukwel hko chuo cha Jordan hakipo hata ktk orodha ya Tcu, polen...
 
haaah! kumbe washkaji washapewa mbona mie hata fom sijajaza aiseee!
 
Bwana mchallo usipaniki, hicho chuo ni cha kata tu!! Huwezi kulinganisha na vyuo kama UDSM, SAUT( MWANZA), SUA, MZUMBE na vingine. Ila JORDAN??? ndo nini kwanza au ndo JORDAN UNIVERSITY?? Ata haiji kabisa. Bora ungeenda ZOOM TECHNICAL COLLAGE.
 
kwa taarifa yako ni tawi la saut. Angalia kitabu cha tcu 2012/13. Halafu visit web. Www.morogoro.sds.org
 
Ndo maana nimemeka SAUT kwenye mabano mwanza, hilo nalitambua bwana mkubwa. Hicho si ndo wenzie kina SAUT-TABORA, MTWARA, KAGERA, NASKIA NA MARA nako.
 
Back
Top Bottom