Heslb wale wa ardhi angaliana mikopo yenu

Heslb wale wa ardhi angaliana mikopo yenu

JF haipo kwa ajili ya first year pekee,pia bodi ya mikopo wanashugulika na wanafunzi wa miaka yote na sio first year tu,hivyo taarifa hiyo ya majina ya hao continuous ni muhimu pia kwa wahusika kufahamu sie first year tusubiri pia yetu yatatoka.
 
Back
Top Bottom