HESLB wametoa majibu ya rufaa

HESLB wametoa majibu ya rufaa

Du mm first year bro lkn holaa
Kwani status imebadilika? Kama iko vilevile subiri acha kupaniki, status ikibadilika halafu ikawa haujapata ujue tayari umekatwa kichwa. Kama bado endelea kusubiri
 
Kwani status imebadilika? Kama iko vilevile subiri acha kupaniki, status ikibadilika halafu ikawa haujapata ujue tayari umekatwa kichwa. Kama bado endelea kusubiri
Brooo nimesubili Sanaa na hata Kama umekatwa kichwa status inabadilika keshoo ukooo
 
Kwa sasa, uchambuzi wa mwisho wa jumla kwa mwaka 2022/2023 unakamilishwa na utapata taarifa zaidi Des. 4,2022.
 
Ngoma ngumu tutembelee sipa zetu tareh 10 des kwa ushauri na si kwa allocation
 
Attachments

  • Screenshot_20221207-000655.jpg
    Screenshot_20221207-000655.jpg
    35.2 KB · Views: 20
Back
Top Bottom