Inasemekana ni vijana wa jkt.Samahani wakuu naomba kuuliza. Hizi siku 10 zilizoongezwa ni kwa vijana wa JKT pekee ama ni pamoja na wote waliochelewa?
Hata mimi najiuliza Kuwa wamekosea kuandika namba au ndio ilivyoHio namba ya 782 ni sahihi au? Maana nakumbuka enzi za Kikwete class kwetu tulikua watu 200+ na wote tulikua na 100% na hio ni kozi moja tu.. saaa hio namba ni ya nchi nzima?
AsanteRead Also:
- The higher education student loans board(HESLB) will cover what items?
- What should I do if I miss a loan on the first batch HESLB?
- what are the criteria the loan board is looking at providing loans?
If I get discontinues from studying what should I do with the Higher Education Student Loans Board(HESLB)?
what procedures do I have to follow in order to be paid a loan by the Higher Education Student Loans Board(HESLB)?
what are the untrue things about getting a loan allocation from a Higher Education Student Loans Board(HESLB)?
Hahaha, labda wanamaanisha 7,820Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu.
Chanzo cha habari: Mwananchi.
My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye chuo kimoja.