HESLB wanamaana gani wakisema!

HESLB wanamaana gani wakisema!

yan kiukweli apa 2nazungushana tu ina mana sisi ndo ha2pewi mikopo dah i hate my country
 
Jaman heslb ha2waelew eleweken bas inakuaje kwa 2liokosa mkopo tena na vigezo 2navyo!
 
Muwe mnatazama kila siku kwenye account zenu, msije kuta mkopo umehamishwa kwa mtu mwingine ukabaki unalia.

ahahaahaa unataka watu wapate msiba uliosaulika. Ngoja na mie niangalie mana ilikua not secure
 
jamani kumaliza form six zamani kunamaanisha unaweza kujisomesh au? mbona hawa heslb siwaelezi!!!!
 
Back
Top Bottom