Mi pia jaman sas tuna appeal vp manake mi ht process sizijui nisaidien
Jaman heslb ha2waelew eleweken bas inakuaje kwa 2liokosa mkopo tena na vigezo 2navyo!
Muwe mnatazama kila siku kwenye account zenu, msije kuta mkopo umehamishwa kwa mtu mwingine ukabaki unalia.
Ku appeal ni lini wakuu.?