HESLB wanamaanisha nn?

Joined
Aug 6, 2014
Posts
87
Reaction score
14
Mpaka leo tar 2/10/2014 heslb hawaja release majina ya wanafunzi waliobahatika kupewa mkopo kwa mhura 2014/2015, ukizingatia usajiri ndo huoo umeshaanza na wanafunzi wengine wanasubiria mkopo huo huo ili wakaregist majina yao.

I mean kipato chao ni cha hali ya chini. HESLB wanasubiria nn? wadau anayejua zaid atusaidie au mda bado wadau?
 
Tarehe tatu leo kaka mimi chuo tarehe 6 ili nifanyiwe registration lazima niwe na 1.75M hapo bado hostel.....matumizi na vinge vng
 
kazi tunayo,mnalalamika wakati baba zenu wanacheza dance bungeni kwa kupitisha ulaji wao
 
Kijana hata kama ww una kipato cha chini,lakini yale malipo ya usajiri hufanyika kabla ya boom kutoka,kinachofanyika unalipia kwanza kabla then boom likitoka unareplace.
 
Tarehe tatu leo kaka mimi chuo tarehe 6 ili nifanyiwe registration lazima niwe na 1.75M hapo bado hostel.....matumizi na vinge vng

Hapo ndo utaona adha ya vyuo mbuzi kwani ada ya huko hata ulipiwe asilimia mia na loan bado utaongezea pesa kibao!!
 
Kijana hata kama ww una kipato cha chini,lakini yale malipo ya usajiri hufanyika kabla ya boom kutoka,kinachofanyika unalipia kwanza kabla then boom likitoka unareplace.

when u pay fees is non refundable nahsi ushayaona haya maneno kaka,wasubir tu wasiw na waswasi jamani, hap chuo wanajua kuna watu wanasubil mkopo kwahyoo wasiofu
 
Kijana hata kama ww una kipato cha chini,lakini yale malipo ya usajiri hufanyika kabla ya boom kutoka,kinachofanyika unalipia kwanza kabla then boom likitoka unareplace.

sawa, hilo nalifaham buy shida inakuja pale utakapotoa pesa ya reg ukiwa unategemea kamkopo then ukajikuta mkopo haojapata. TATIZO LIKO HAPO
 
Tarehe tatu leo kaka mimi chuo tarehe 6 ili nifanyiwe registration lazima niwe na 1.75M hapo bado hostel.....matumizi na vinge vng

NI KWEL LEO NI TAR 3, asante kwa kuniremind. kaka ni shida, cjui tutafanyaje
 
when u pay fees is non refundable nahsi ushayaona haya maneno kaka,wasubir tu wasiw na waswasi jamani,hap chuo wanajua kuna watu wanasubil mkopo kwahyoo wasiofu

but remember vyuo vna deadline ya kureport baada ya hapo hawatakutambua but ni kwa baadhi ya vyuo
 
Kijana hata kama ww una kipato cha chini,lakini yale malipo ya usajiri hufanyika kabla ya boom kutoka,kinachofanyika unalipia kwanza kabla then boom likitoka unareplace.

How do you replace. Kwani bodi wakilipa pesa wanapeleka chuo au unapatiwa wewe ndio ukalipe? If not unareplace vipi
 
tatizo tanzania hatuna umoja wa kitaifa assume vijana tungekuwa na umoja mimi naamin tungefanya mengi na kuliokoa taifa letu dhidi ya ufisadi unaondelea kutukandamiza. ila mtu akitokea kushauri jambo mnasema ni siasa.
 
wakuu msiwe na hasira na heslb wao wanasubir kuletew majina kutoka nacte/tcu watatoa vip mkopo wakati bado wale wao taka kutransfer hawajamaliziwa process zao.yan mpk nacte/tcu wamalize mambo yao wapelek majina heslb ndo waanze kaz.
 
kwanza niwape pole sana wanafunzi wote mnaotarajia kuanza 1st yr mwaka huu, 7b mna changamoto ambayo wanafunzi wote wa miaka ya nyuma hawajawah kuipata na ninasikitika kukuambia kuwa inawezekana ikafika novemba, ikawa bado hamjapewa fedha zenu za kujikimu na ole wako kama umechaguliwa chuo cha private, apo boom utalipata desemba, sasa kabla hujailaumu HESLB naomba tambua yafuatayo.

1. Miaka iliyopita mtihan wa kidato cha sita ulikuwa ukifanyika mwez february na matokeo yalikuwa yakitoka mwez wa tano ambapo wanafunz walikuwa wanafanya application ya vyuo kuanzia may mpaka july, then august selection results zinatolewa na TCU, then tcu wanatuma majina kwenda HESLB ndo wanaanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi waliochaguliwa na tcu,kwaiyo mpaka ikifika septemba kila kt kuanzia TCU na HESLB kinakuwa kimeeleweka na october wanaenda vyuoni.

2.mwaka huu mtihan mmefanya mwez may, maana yake matokeo yenu yalichelewa,mkachelewa kuapply vyuo, mkachelewa kupata post za vyuo mlivyopangiwa, tcu bado hawajakamilisha zoez la transfer zitakamilika tarh 10 mwez huu,kwaiyo kama ni hivyo majina bado hayajatumwa HESLB, na huenda wakayatuma baada ya 10 october.

3. wanaostahil lawama n wizara ya elimu, necta, tcu na nacte kwa kubadili kalenda ya mtihan wa kidato cha sita bila kuvishauri vyuo vikuu vibadili kalenda ya mwaka wa masomo,mm nadhan mwaka wa masomo ilitakiwa uanze novemba na siyo oktoba,kwaiyo nakushaur uende chuo na angalau laki moja ya matumizi, huku ukiwa unaendelea kuwasikilizia awa HESLB
 
Kijana hata kama ww una kipato cha chini,lakini yale malipo ya usajiri hufanyika kabla ya boom kutoka,kinachofanyika unalipia kwanza kabla then boom likitoka unareplace.

Sorry mkuu hivi unawezakulipia usajili kabla ya nusu ada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…