Mpaka leo tar 2/10/2014 heslb hawaja release majina ya wanafunzi waliobahatika kupewa mkopo kwa mhura 2014/2015, ukizingatia usajiri ndo huoo umeshaanza na wanafunzi wengine wanasubiria mkopo huo huo ili wakaregist majina yao. I mean kipato chao ni cha hali ya chini. HESLB wanasubiria nn? wadau anayejua zaid atusaidie au mda bado wadau?
kwanza niwape pole sana wanafunzi wote mnaotarajia kuanza 1st yr mwaka huu, 7b mna changamoto ambayo wanafunzi wote wa miaka ya nyuma hawajawah kuipata na ninasikitika kukuambia kuwa inawezekana ikafika novemba, ikawa bado hamjapewa fedha zenu za kujikimu na ole wako kama umechaguliwa chuo cha private, apo boom utalipata desemba, sasa kabla hujailaumu HESLB naomba tambua yafuatayo.
1. Miaka iliyopita mtihan wa kidato cha sita ulikuwa ukifanyika mwez february na matokeo yalikuwa yakitoka mwez wa tano ambapo wanafunz walikuwa wanafanya application ya vyuo kuanzia may mpaka july, then august selection results zinatolewa na TCU, then tcu wanatuma majina kwenda HESLB ndo wanaanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi waliochaguliwa na tcu,kwaiyo mpaka ikifika septemba kila kt kuanzia TCU na HESLB kinakuwa kimeeleweka na october wanaenda vyuoni.
2.mwaka huu mtihan mmefanya mwez may, maana yake matokeo yenu yalichelewa,mkachelewa kuapply vyuo, mkachelewa kupata post za vyuo mlivyopangiwa, tcu bado hawajakamilisha zoez la transfer zitakamilika tarh 10 mwez huu,kwaiyo kama ni hivyo majina bado hayajatumwa HESLB, na huenda wakayatuma baada ya 10 october.
3. wanaostahil lawama n wizara ya elimu, necta, tcu na nacte kwa kubadili kalenda ya mtihan wa kidato cha sita bila kuvishauri vyuo vikuu vibadili kalenda ya mwaka wa masomo,mm nadhan mwaka wa masomo ilitakiwa uanze novemba na siyo oktoba,kwaiyo nakushaur uende chuo na angalau laki moja ya matumizi, huku ukiwa unaendelea kuwasikilizia awa HESLB