My wishes for you all to be supported by this HESLB; my advice to you please avoid sms language because of its replications pursuant your further education. May be privately but not in publicly uses.
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
Safi xana kaka kwa kutuwakilisha endelea kuorganize people waliokaribu na bodi kudai haki yetu ya msingi.natamani xana kuungana nawe ila niko border.
Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.
nimechanganyikiwa sana.nimefaulu hafu nakosa kwenda chuo et coz ya MKOPO?Huu ni upumbavu sana hiv TZ 2taendelea lini?safi sana KAKA huo ndo MPANGO MZIMA 2kinyamaza nao wanaweza KUNYAMAZA so Hapo ni KUKAZA but Mwanzo mwisho.mpaka wa2pe MKOPO
Sababu walizotoa ni kwamba, eti kuna watu form zao hazikufika kwa hyo ikaonekana hawakuomba mkopo. Wengine wanadai eti walifoji namba za vocha ile ya kulipia m pesa. Kwa hiyo kama m2 akiambiwa sababu hyo na ana ushahidi atakataa na kuwaonesha vielelezo. Ila bado ni kuzidi kushinikiza ili kweli wajue watu wanahitaji mikopo.

mzaz imejumuishwa kwny hyo 3mill.
kaza buti usikose elimu hiyooooowadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..

hivi mimi sielewi kabisa walisema bajaeti ya mwaka huu imeongezeka kulinganisha na last year sasa mbona idadi ya waliopewa mikopo dis year ni wachache kuliko wa last year?
Hapo kwenye red, kwa kweli nyie vijana mnashangaza sana. Kwa kiwango cha elimu mlichofikia, wasomi wa chuo kikuu nisingetarajia kuona mnaandika vitu vya ajabu kiasi hicho.
Hivi mtu unaona raha gani kuandika vitu vya kitoto toto kiasi hicho. Mnatakiwa kujitofautisha na watoto wa sekondari, kidato cha pili ambao ndio wanaanza kujifunza ujanja wa shule ndio wanafanya vitu kama hivi, sasa nyie watarajiwa wa chuo kikuu mnaandika vitu vya namna hii? Jitambueni na kubadilika.
Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
Heko mtu mzima! Wengi wanapinga ikiwa ufahamu wa haki hakuna. Bora umetuambia.Sidhani kama Bodi ya mikopo wamesalimu amri, tambua kuwa kitu wanachofanya ni kinyume cha sheria kabisa.Sheria inatamka bayana kuwa Mtnzania yoyote anayesoma kwenye chuo cha elimu ya juu anastahili mkopo bila kujali aina ya masomo anayosoma, division aliyopata jinsia au kitu chochote. Kwa nini bodi waweke vigezo ambavyo havijulikani na havijatamkwa kisheria?

Mini naona hilo ndio tatizo na hili ndilo linalotakiwa kuondolewa na si vinginevyo?

we nawe,wenzio 2naongelea ishu muhimu,we unaleta maswala ya kusahihsha maandshi.
hivi xaxa na sasa hapo umefupisha nini? Badilika anachokiongelea mkuu ni sahihi kabisaUpo dunia ya ngapi mkuu, vipi hukuelewa? omba ufafanuzi! kumbuka post zote humu sio 'formal writings" hivyo mwandishi ana uhuru wa kufupisha maneno kuokoa mda.
Hiyo ndiyo nini? Taarifa nzuri lakini unaharibu kwa kuweka madoido ambayo hayapo katika lugha yetu ya kiswahili. Ilikuwa shida kuweka S badala ya X? Tujivunie lugha yetu.Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
Hapo kwenye red, kwa kweli nyie vijana mnashangaza sana. Kwa kiwango cha elimu mlichofikia, wasomi wa chuo kikuu nisingetarajia kuona mnaandika vitu vya ajabu kiasi hicho.
Hivi mtu unaona raha gani kuandika vitu vya kitoto toto kiasi hicho. Mnatakiwa kujitofautisha na watoto wa sekondari, kidato cha pili ambao ndio wanaanza kujifunza ujanja wa shule ndio wanafanya vitu kama hivi, sasa nyie watarajiwa wa chuo kikuu mnaandika vitu vya namna hii? Jitambueni na kubadilika.

Hiyo ndiyo nini? Taarifa nzuri lakini unaharibu kwa kuweka madoido ambayo hayapo katika lugha yetu ya kiswahili. Ilikuwa shida kuweka S badala ya X? Tujivunie lugha yetu.

Upo dunia ya ngapi mkuu, vipi hukuelewa? omba ufafanuzi! kumbuka post zote humu sio 'formal writings" hivyo mwandishi ana uhuru wa kufupisha maneno kuokoa mda.