Heslb wasalimu amri

Heslb wasalimu amri

My wishes for you all to be supported by this HESLB; my advice to you please avoid sms language because of its replications pursuant your further education. May be privately but not in publicly uses.

we nawe,wenzio 2naongelea ishu muhimu,we unaleta maswala ya kusahihsha maandshi.

Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..

Safi xana kaka kwa kutuwakilisha endelea kuorganize people waliokaribu na bodi kudai haki yetu ya msingi.natamani xana kuungana nawe ila niko border.

Huo usanii mnafanyiwa madogo...wanataka wawaandkie 7bu za kukosa mkopo,mbona me kwa mdogo wangu mwenye dv 2.10,wamemuandkia eti coz yake ni non priority au wanataka kuandka nin tena,kudadeki ngoja 2rudi vyuon,lazima 2lianzishe yani.hii nchi ni ya wote co wachache 2.

nimechanganyikiwa sana.nimefaulu hafu nakosa kwenda chuo et coz ya MKOPO?Huu ni upumbavu sana hiv TZ 2taendelea lini?safi sana KAKA huo ndo MPANGO MZIMA 2kinyamaza nao wanaweza KUNYAMAZA so Hapo ni KUKAZA but Mwanzo mwisho.mpaka wa2pe MKOPO

Sababu walizotoa ni kwamba, eti kuna watu form zao hazikufika kwa hyo ikaonekana hawakuomba mkopo. Wengine wanadai eti walifoji namba za vocha ile ya kulipia m pesa. Kwa hiyo kama m2 akiambiwa sababu hyo na ana ushahidi atakataa na kuwaonesha vielelezo. Ila bado ni kuzidi kushinikiza ili kweli wajue watu wanahitaji mikopo.

mzaz imejumuishwa kwny hyo 3mill.

Hapo kwenye red, kwa kweli nyie vijana mnashangaza sana. Kwa kiwango cha elimu mlichofikia, wasomi wa chuo kikuu nisingetarajia kuona mnaandika vitu vya ajabu kiasi hicho.

Hivi mtu unaona raha gani kuandika vitu vya kitoto toto kiasi hicho. Mnatakiwa kujitofautisha na watoto wa sekondari, kidato cha pili ambao ndio wanaanza kujifunza ujanja wa shule ndio wanafanya vitu kama hivi, sasa nyie watarajiwa wa chuo kikuu mnaandika vitu vya namna hii? Jitambueni na kubadilika.

wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
kaza buti usikose elimu hiyooooo

hivi mimi sielewi kabisa walisema bajaeti ya mwaka huu imeongezeka kulinganisha na last year sasa mbona idadi ya waliopewa mikopo dis year ni wachache kuliko wa last year?

shangaa na wewe!hawa wanawazngua madogo 2!

hii ndo TANZAGIZA so 2sishangae sana.wanafanya mambo yao kama wapo GIZAN

Hapo kwenye red, kwa kweli nyie vijana mnashangaza sana. Kwa kiwango cha elimu mlichofikia, wasomi wa chuo kikuu nisingetarajia kuona mnaandika vitu vya ajabu kiasi hicho.

Hivi mtu unaona raha gani kuandika vitu vya kitoto toto kiasi hicho. Mnatakiwa kujitofautisha na watoto wa sekondari, kidato cha pili ambao ndio wanaanza kujifunza ujanja wa shule ndio wanafanya vitu kama hivi, sasa nyie watarajiwa wa chuo kikuu mnaandika vitu vya namna hii? Jitambueni na kubadilika.

Upo dunia ya ngapi mkuu, vipi hukuelewa? omba ufafanuzi! kumbuka post zote humu sio 'formal writings" hivyo mwandishi ana uhuru wa kufupisha maneno kuokoa mda.

Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..

Kijana poleni sana na kazeni Buti. VP nimesikia eti bodi na wizara wametoa tamko kuwa hakuna makosa na silazima kila mtu apate mkopo? Nimepata taarifa hii kwa mtu na sijaithibitisha

Wizara imeipa bod wiki 2 kureview majina ya wenye sifa . Source n uchambuz wa magazet magic fm.

Wote huu ni usanii ambao Nyerere aliukataa baada ya kuleta mfarakano kati ya maKabwela na wale wenye nacho waliopata msamaha wa kulipa karo ya watoto wao sekondari wakati wale wa makabwela wakinyimwa misamaha - wakati huo pia ulikuwepo uasanii huu wa kujaza jaza mijifomu ya msamaha wa kulipa karo sekondari. Mfumo kama huu hauwezi kuwa fair.

Kama CDM wanaona upo uwezekano wa kusomesha vijana bila kulipia kwa nini serikali hii "SIKIVU" isiwakopeshe wanafunzi wote vyuo vikuu ili baada ya kujiajiri / kuajiriwa waweze rejesha mkopo.

Matukio ya siku moja, heslb wamefikia hapo. Kazeni buti, hakuna kurudi nyuma; kwa siku tano za kashkash, watatoa mikopo.
Mkienda kulala tu mmeliwa!

Sidhani kama Bodi ya mikopo wamesalimu amri, tambua kuwa kitu wanachofanya ni kinyume cha sheria kabisa.Sheria inatamka bayana kuwa Mtnzania yoyote anayesoma kwenye chuo cha elimu ya juu anastahili mkopo bila kujali aina ya masomo anayosoma, division aliyopata jinsia au kitu chochote. Kwa nini bodi waweke vigezo ambavyo havijulikani na havijatamkwa kisheria?

Mini naona hilo ndio tatizo na hili ndilo linalotakiwa kuondolewa na si vinginevyo?

Heko mtu mzima! Wengi wanapinga ikiwa ufahamu wa haki hakuna. Bora umetuambia.

we nawe,wenzio 2naongelea ishu muhimu,we unaleta maswala ya kusahihsha maandshi.

maandishi nayo yana matter we vip?

Upo dunia ya ngapi mkuu, vipi hukuelewa? omba ufafanuzi! kumbuka post zote humu sio 'formal writings" hivyo mwandishi ana uhuru wa kufupisha maneno kuokoa mda.
hivi xaxa na sasa hapo umefupisha nini? Badilika anachokiongelea mkuu ni sahihi kabisa

Wadau mimi ni mmojawapo kati ya wale tuliokua wizara ya elimu kulalamika kuhusu kunyimwa mkopo na heslb. Kwa taarifa mpaka tulivyoondoka pale wizarani saa 12 jioni, bodi ya mikopo ilikiri kua kuna matatizo mengi yaliyojitokeza kwenye ugawaji wa mikopo. Ila kilichoamuliwa ni kwamba, wata review yale majina ya wote waliokosa mikopo ambao walikua na vigezo wapate mikopo. Ila walichoongelea sana ni kwamba watatoa taarifa kwa kila aliekosa mkopo ili ajue ni kwa nini amekosa. Kwa hyo wataongezea pale kwenye matokeo ya chuo maelezo kuonesha sababu. Baada ya hapo xaxa 2tajua cha kufanya kwa maana wamedai kuna watu form zao hazikufika ilhali kumbe wana hadi risiti za Ems! Ila suala la kwamba, mikopo itatolewa tena ama la? Wamedai ni mpaka waziri atoe tamko. Watafanya mkutano hivi karibuni. Lets hope that they will not cheat us. Amen. Nawasilisha kwenu wana jf..
Hiyo ndiyo nini? Taarifa nzuri lakini unaharibu kwa kuweka madoido ambayo hayapo katika lugha yetu ya kiswahili. Ilikuwa shida kuweka S badala ya X? Tujivunie lugha yetu.

na wewe mwita
maranya usijione unajua sana lugha hapa sio jukwaa la lugha cha muhimu ujumbe umekufikia na umeelewa., usikimbilie sana kukosoa badala ya kuchangia hapa JF tunatumia social language na hata ukitumia standard language sawa cha muhimu hajavunja sheria na miiko ya JF. angekuwa anaandika makala au habari fulani kwa jamii kwenye gazeti ndio ungemkosoa lkn hapa kijana katumia lugha nzuri na vifupisho na kaeleweka,
Hapo kwenye red, kwa kweli nyie vijana mnashangaza sana. Kwa kiwango cha elimu mlichofikia, wasomi wa chuo kikuu nisingetarajia kuona mnaandika vitu vya ajabu kiasi hicho.

Hivi mtu unaona raha gani kuandika vitu vya kitoto toto kiasi hicho. Mnatakiwa kujitofautisha na watoto wa sekondari, kidato cha pili ambao ndio wanaanza kujifunza ujanja wa shule ndio wanafanya vitu kama hivi, sasa nyie watarajiwa wa chuo kikuu mnaandika vitu vya namna hii? Jitambueni na kubadilika.

Hiyo ndiyo nini? Taarifa nzuri lakini unaharibu kwa kuweka madoido ambayo hayapo katika lugha yetu ya kiswahili. Ilikuwa shida kuweka S badala ya X? Tujivunie lugha yetu.

umeumia kwa matumizi ya 'x' badala ya 's'? Ila mie nakerwa sana na wale wanaorembesha kiswahili kama yupo marekani 'wabana pua'. Wakuu hapa ni kuchangia mada, ukimwelewa funika kikombe mwanaharamu aende, kusahihisha mtu kaandika nini huko wanaohitimu leo. Ishu kubwa ni mikopo kama una hasira tapika mikopo tuliokosa tuende tukasome. Nimekukwaza? l!ve me alone!

Upo dunia ya ngapi mkuu, vipi hukuelewa? omba ufafanuzi! kumbuka post zote humu sio 'formal writings" hivyo mwandishi ana uhuru wa kufupisha maneno kuokoa mda.

acha utoto wa shule wewe.. Kafupisha nin hapa,
xaxa..-sasa
xana..:sana..
Unasapoti utumbo

Back
Top Bottom