HESLB yaja na mpango mpya kwa wasiyorejesha mikopo, waungana na RITA, NIDA na Taasisi za Kibenki kuwatambua kirahisi wadaiwa

Mimi birth certicate yangu ni ya zaidi ya miaka 30 iliyopita, enzi hizo haijuiikani hata fingerprint ni kitu gani.., wala NIDA hakuna, na NIDA hawakuomba birth cerificate wakati wa usajili..
Ulisajiliwa NIDA bila birth certificate???
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndio, sikupeleka birth certificate wakati wa kusajili NIDA, labda huo utaratibu umeanza siku hizi. Kilichohitajika ni jina la mjumbe tu.., na barua ya utambulisho ya serikali ya mtaa, Majina matatu, taarifa zangu na za Wazazi, na kuchukuliwa fingerprint, na kupigwa picha., na zoezi lilifanyikia ofisi ya serikali ya mtaa enzi hizo..

Na hata kufungua akaunti, sijawahi kupeleka cheti cha kuzaliwa, kikubwa barua ya utambulisho ya serikali ya mtaa pamoja na NIDA

Hata kusajili laini, ni NIDA tu na fingerprint inatakiwa..
 
Sawa nshakupataa
 
Wengine kufungua Account tulitumia barua kutoka chuo, maana Bank zilitufuata zenyewe chuo sijui itakuaje sasa
 
Shida wametubambika Tina kubwa sanaa mpaka Unawaza nitakatwa mpaka lini?
 
Hata wakiingigia mkataba na Mimi mwenyewe deni ntalikwepa na la kunifanya hawana na kazi serikali siitaki
 
Nawapongeza ila nawashauri apo inabidi itoe tena mkopo kwa wahitumu ambao hawana sifa za kukopesheka na taasisi za kifedha ili wapate mitaji na kuwalipa madeni yao yote bila kubaki ata moja
 
Wamemsahau mdau mhimu, TRA huyu ndo anaona nani analipiwa mshahara kutoka wapi/ Au biashara yake iko wapi maana anakuja kufanya makadilio.Pia NSSF anaona nani analetewa mafao kutoka wapi
 
UnAdaiwa kiasi gani br
 
Tulipe tu kama una kazi tayari ila kwa wale wasio na kazi itakuwa ngumu kulipa maana hawana kipato.
 
Wengine kufungua Account tulitumia barua kutoka chuo, maana Bank zilitufuata zenyewe chuo sijui itakuaje sasa
Walichonacho kama ID ni namba ya mtihani ya form 4 ya miaka hiyo, ambayo nayo haipo connected na NIDA
 
Kama ambavyo Mimi sikuwahi kusoma na mkopo chuo kikuu hata vijana wangu pia ni hivyo hivyo...hata hivyo ni Hali tu za kimaisha huwafanya wengi wasome na mkopo na pia Kuna Leo na kesho, such is life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…