Kyamtwala
JF-Expert Member
- Sep 18, 2014
- 252
- 150
Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...?Wakubwa..
Katika akaunti ya bodi ya mkopo verification result ikionyesha kwamba cheti cha kifo ni INVALID yani majina yametofautiana na ni kweli kwasababu cheti icho kilikosewa Herufi kwenye majina..
Nifanyaje kusolve tatizo