Kyamtwala JF-Expert Member Joined Sep 18, 2014 Posts 252 Reaction score 150 Oct 2, 2020 #21 Ngalelikumtwa said: Wakubwa.. Katika akaunti ya bodi ya mkopo verification result ikionyesha kwamba cheti cha kifo ni INVALID yani majina yametofautiana na ni kweli kwasababu cheti icho kilikosewa Herufi kwenye majina.. Nifanyaje kusolve tatizo Click to expand... Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...?
Ngalelikumtwa said: Wakubwa.. Katika akaunti ya bodi ya mkopo verification result ikionyesha kwamba cheti cha kifo ni INVALID yani majina yametofautiana na ni kweli kwasababu cheti icho kilikosewa Herufi kwenye majina.. Nifanyaje kusolve tatizo Click to expand... Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...?
Ngalelikumtwa Member Joined Oct 17, 2019 Posts 27 Reaction score 12 Oct 2, 2020 #22 Arch.katunzi said: Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...? Click to expand... INVALID
mussa msigwa Member Joined Jun 24, 2019 Posts 7 Reaction score 2 Jun 10, 2021 #23 Arch.katunzi said: Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...? Click to expand... Ivii no kweliii Kama Kuna tofautianiii ya majina hat erufii ni kosa katika ku apply mkopo
Arch.katunzi said: Bodi wenyewe kwenye comment wamekuandikia je...? Click to expand... Ivii no kweliii Kama Kuna tofautianiii ya majina hat erufii ni kosa katika ku apply mkopo