Heslb

Heslb

amanayor

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
15
Reaction score
0
inasemekana ukimya wa heslb ni kutokana na kucheleweshwa kwa pesa toka wizarani ingawa bajeti ilishapitishwa lakini kuna kigugumizi wizarani,
 
siasa...ufisadi...kufisadi ela za loni...kuvua magamba....THE ROTTEN SYSTEM...let see what will happen there after!!!
 
Inasemekana mpaka madeni yakusanywe kwa waliokopeshwa but vikao baina ya bodi na wizara vinaendelea ili kupata muafaka,

Ishu ya madeni naona ni ngumu.Yatalipwa yote kabla ya mwisho wa mwezi huu?
 
@ 'amanayor'
Hizo zako ni za 'chini ya kapeti' Kinachofahamika ni kwamba:
HESLB imetoa muda mpaka 29/8 waliokuwa na mapungufu au dosari kwenye form zao za maombi ya mkopo warekebishe.So tunawasikilizia baada ya hapo.
 
Back
Top Bottom