Hewa chafu kutokaukeni

Hewa chafu kutokaukeni

zungu santana

Member
Joined
Oct 14, 2014
Posts
23
Reaction score
18
Share.......

HEWA CHAFU KUTOKA UKENI
hili ni tatizo linalowakumba WANAWAKE wengi sana tena sanaa na wanashindwa wafanye nn kulitatua na pia wengi wao hawajuwi ni kitu ganikinasababisha hali hiyo.

Na tatizo hili zaidi hutokea mnapokuwa mnafanya mapenzi hasa ile style maarufu mbuzi kagoma kwenda[emoji238] sababu mwanamke anakuwa ameinamisha kichwa chini kiuno juu hivyo huruhusu hewa hiyo kutokea ukeni

Hali hii inakosesha raha na kutojiamini kabisaa na sanyingine hukufanya usitake kuwa na mwenzio

Vilevile ni aibu haswa kwa wale walio katika ndowa wapya utatamani ardhi ipasuke utumbukie

Lakini hali hii tunaisababisha wenyewe mwali tena kwa uvivu wetu kwa vitu tunavyofanya wenyeweahahahahahaaaaa
SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI NA TIBA YAKE
KUTOJUA KUJISAFISHA UKE
kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uuke tatizo hili lazima likupate
kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga ulioshindia kwenye mavumbi unaenda kujifutia baada ya kuoga.
UTUMIAJI MAJI MOTO
ukiwa unapenda kusafishaa Uuke wako kwa majimoto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa hata baada ya kufanya Uuke inatakiwa usafishekwa maji baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uuke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.
KULEGEA KWA MISULI YA UKE
Pia ikiwa imelegea inasababisha vijambo kwenye Uuke kutokana na uke kuwa wazi
```ULALAJI NA SHAHAWA UKENI
Kwa wale wanawake wasiojisafisha ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa hali hii lazima itakukuta na pia wanawake hamtakiwi kulala na shahawa ndani ya uke unalegeza uuke na kupoteza joto la asili la uuke , vilevile kulala na shahawa bila kunawa unasababisha uuke kutoa harufu mbaya
USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA
Unapomaliza kufanya jimai mfute mmeo na wewe ujifute, nendeni bafuni ikibidi muoge sio ukimaliza unageukia upande wa pili unakoroma shawaha kibao ukeni uke unapoa na kutepeta.
ukifika bafuni chuchumaa kwa muda kuruhusu shahawa zitoke kwa urahisi jikamue kidogo ili shahawa zitoke vizuri
Kisha osha uke kwa maji mengi usitumie sabuni osha na maji baridi kwani maji moto yanarejesha uke nduguzangu ok kisha jifute vizuri kwa kitaulo safi uuke ubaki kikavu .
 
Ok, ila sio mahali pake hapa, hapa tuletee mambo ya lissu, taarifa ya bandarini ya zile siku saba, bombardie yetu inakuja lini, haya ndio tuletee..., hayo mastaili sijui nani kagoma, wengine hatuhitaji hata kuyaskia!
 
Back
Top Bottom