Hey guys, hivi hii ni kweli au utapeli?

Hey guys, hivi hii ni kweli au utapeli?

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Hey guys salamu nawasalimu habari ya nyinyi?

Naomba kuuliza wakati nipo net naperuzi kuna page imefunguka kuna maelezo nimejaza then vikatokea vibox nikabifungua ikatokea iPhone 11 wakaniambia nimeshinda kuipata hiyo gift nijaze details zangu including bank card number hii iko vipi? Code number in hiyo +994

Screenshot_20200603-144049.png
 
Chrome hiyo. Inaonyesha ile browser imeingiliwa na utapeli. Mimi walinitaka nilipe kwanza one dollar
 
🤣
Alikua net anaperuzi; page ikafunguka akajaza, then hamadi, kitu cha iPhone 11 kika pop kinatafuta owner
Yes according to maelezo yao ni huduma ya posta niliyoitumia ndio wamenipa zawadi kwa kuwa mteja
 
Page kwa juu inaonesha in aliexpress
 
Weka hizo number za bank uone watakavyoenda kuchota akiba yako yote kisha ubaki na hiyo picha ya iPhone tuu.....!
 
Karibu mjini.
Nasubiria uje uandike uzi mwengine ukilia kuwa umeshapigwa pesa.
 
Back
Top Bottom