Hey my boo listen to this

Kuna kajamba nani jana kamtongoza hubby wangu so akozani simjui yaani ndio napata kahauweni yeye na vidm vyake vya kipepo na hubby kaniambia hapa kuna mashangingi yanayo winda watu wawatu na wakwako hawapi huduma yakuridhisha
Umefanya nimecheka kwa sauti mpk naonekana zimepungua ktk ubongo duh et kajamba nani🤣🤣🤣
 
Wivu gani ??, Tuna u karibu mpaka nimjue???
👉Lini nikisha wahi hata kufikiria Hilo, zaidi ya jokes tu- am truly pissed.
Mbona tunafanya matani kila siku.
Em kwa hiyo kutaniana imeanza leo, yani leo ndo uanze fujo
Acha utoto bana inteli
 
Ila da maua nahisi Ana nchi ya peke ake we unamuonaje 🤣🤣🤣
Acha uchokozi we mdada haya . Why nasema hivyoo unanitag nikiwa sijaandika poa . Ila ipo siku utamjua na mzungumzia babe yupi ila humjui na sio mwandikaji wa mabango mlio mzoea yeye ni msomaji tu .

Ila kiswahili ajui sijui aliiingiaje humu . Sasa jichanganye nikuweke kwenye kiti moto haya shauri yako .

Humu kuna mtu kanote kila mtu na njemba lake limewekwa camera na mita na gprs yaani anasomeka hata aende kuwanga . Mie nipo serious . Wamenikera sana .

Humu nilichambwagwa kisa mtu fulani saivi nami naanza kukusanya matukio kama nikweli nitamchamba hadi basi . Hadi na dira namvalisha
 
Joannah huyu mtu sio mtanzania yupogi ugermany ndio anaishi nakufanya kazi .sasa huyo babe wako ana uhasilia 2 ambazo ni wapi na wapi?? Je wako mnapokutana maana tuongee tu ukweli lazima ukwame
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sawa da maua nmeacha
 
Joannah huyu mtu sio mtanzania yupogi ugermany ndio anaishi nakufanya kazi .sasa huyo babe wako ana uhasilia 2 ambazo ni wapi na wapi?? Je wako mnapokutana maana tuongee tu ukweli lazima ukwame
Daah Maua unaandika kiswahili kigumu sana,yaani hapo nimeelewa tu bby wako yupo Germany mengine nimetoka kapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…