Hey my boo listen to this

Hey my boo listen to this

Acha uchokozi we mdada haya . Why nasema hivyoo unanitag nikiwa sijaandika poa . Ila ipo siku utamjua na mzungumzia babe yupi ila humjui na sio mwandikaji wa mabango mlio mzoea yeye ni msomaji tu .

Ila kiswahili ajui sijui aliiingiaje humu . Sasa jichanganye nikuweke kwenye kiti moto haya shauri yako .

Humu kuna mtu kanote kila mtu na njemba lake limewekwa camera na mita na gprs yaani anasomeka hata aende kuwanga . Mie nipo serious . Wamenikera sana .

Humu nilichambwagwa kisa mtu fulani saivi nami naanza kukusanya matukio kama nikweli nitamchamba hadi basi . Hadi na dira namvalisha
Usitufanyie hivyo Da mau?
 
Back
Top Bottom