Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa bankrupt haimaanishi ndio OVER hahahaha read business cycle ...kuna time ya boom na ku decline
Nimesikia kuna MKENYA mwingine kamchoma kisu mkewe mpaka KUFA what is wrong with you people ?
Nilisoma na nilifaulu zaidi yako wewe,na kama unabisha upload tokeo lako hapa!
National Pride ipo kwenye ndege za kununua?
Mbuzi wewe!
National Pride yetu ni kwenye wanyamapori wetu,utu wetu,lugha yetu,maliasili yetu,watu wetu,etc....
Sio mabati uliyonunua kutoka kwenye some random workshop in Canada called Bombadier!
Kirusi wewe!
Nimesikia kuna MKENYA mwingine kamchoma kisu mkewe mpaka KUFA what is wrong with you people ?
Jipe hope buda ...imekuaje unamkumbuka cockroach Au unawafuga? Ni maajabuATCL that can't even give cockroach sleepless nights inisumbue na nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu haupinduki,Johannesburg, Bangkok,Mumbai,Shanghai..tuusan Mumbai hadi lini?
Hakuna serikali duniani ilishawahi fanya biashara ikapata faida!
None!
Hii ya Magufuli ndio eti inafanya biashara,what a joke!
Serikali siku zote haiwezagi kufanya biashara......
kwa nini unasimamia hoja za kipumbavu?what's civics?Tanzania imezaliwa leo au haikuwepo kabla ya Magufuli?wizi mtupu.....maamuzi ya kishetani halafu mpumbavu mmoja anasimama kuyatetea.Ulisoma sekondari? Civics ulipata ngapi mpaka unashindwa kujua umuhimu wa national pride?