HEY TANZANIANS, WHAT'S GOING ON WITH ATLC


Mchane uyo babaa....... mpasue
 
View attachment 1073832

Acha kukariri wewe, namba 2,3,4 ni state owned.

Acha upumbavu!

Ndio maana Tanzania Afrika Mashariki kielimu tupo mwisho kati ya mataifa yote 7.

Ni kwasababu ya wapumbavu kama wewe!

Haya makampuni yana FAIDA?

Claim yangu original ni kua "HAKUNA SERIKALI ILIYOFANYA BIASHARA IKAPATA FAIDA"

Hoja hapa ni FAIDA!

Sasa wewe umeenda ku-pull some garbages from Wikipedia huko unakuja kubwaga hapa kwa nyodo kumbe ni mavi gunia!

Serikali mbalimbali humiliki shares au outright ownerships kwenye makampuni na mashirika mbalimbali tena ndani na nje ya hizo nchi.....

Je,state owned companies tena za Afrika kuna hata moja yenye kujenga FAIDA in any sense?
 
Ulisoma sekondari? Civics ulipata ngapi mpaka unashindwa kujua umuhimu wa national pride?
kwa nini unasimamia hoja za kipumbavu?what's civics?Tanzania imezaliwa leo au haikuwepo kabla ya Magufuli?wizi mtupu.....maamuzi ya kishetani halafu mpumbavu mmoja anasimama kuyatetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…