ππππELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga π
Siku nikinunua baiskel usiniombe lift π€£π€£Hakuna namna ππ
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Pickup nazozikubali
Kuna Hilux Revo Rocco
View attachment 3470561
Kuna Ranger Raptor
View attachment 3470562
Kuna mtu kazi Ram 2500
View attachment 3470569
Kwa kazi yangu hii uongo! π€£Ni kazi tu , hakuna namnna mkuu π
Vale Nafaka super woman nembo yetu ya Taifa.Anayo yule muuza Nafaka
Bahati mbaya ni kwamba huwa sipendi mali za watu, hata niking'ang'ania halitakuwa langu so ntapambana nikanunue yangu mwenyeweπ« kuwa na amani na gari yako kama unayo kweliππππ
Ataning'ang'ania huyu, namjua waifu material vizuriπ
Mh! Sitaki vya watu mieELI COHEN hebu msogeze dada wa watu karibu apige picha na hiyo ndinga π
Bahati mbaya ni kwamba huwa sipendi mali za watu, hata niking'ang'ania halitakuwa langu so ntapambana nikanunue yangu mwenyeweπ« kuwa na amani na gari yako kama unayo kweli
Ila pia ilikuwa ni utani tu.Mh! Sitaki vya watu mie
OkIla pia ilikuwa ni utani tu.
PLEASE DONT TAKE IT PERSONAL ππ»