Hezbollah bado wapo kwenye mshtuko wa moyo hawaamini mashambulio yao yamefelije! Waliwahiwa mapema kiufundi na IAF

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini kiwango cha uharibifu waliopata," alisema. Yaani kuua ''Jogoo na mitetea kweli? ''

"Tulishambulia maelfu ya virushia roketi na kulemaza uwezo wa Hezbollah na walilegea haswa nyororo, na shughuli zetu [bado hazijakamilika]. Inaonekana Hezbollah bado wako katika mshtuko. Wanajaribu kufahamu ukubwa wa uharibifu walioupata, na watajua hawajui. watakuja elewa katika siku zijazo, kwa sasa wanaanza kufahamu kilichotokea na jinsi kilivyotokea," Abbas alieleza.

Mapema wiki hii, IDF ilisisitiza kuwa ingawa operesheni ilikuwa ya mbinu, ilituma ishara zenye nguvu kwa Hezbollah-ujumbe ambao unaweza kusababisha mabadiliko mapana ya kimkakati.

"Inaonekana Hezbollah ilishangazwa kwa dhati," alibainisha Abbas. "Mshtuko wao unatokana na idadi kubwa ya ndege tulizorusha kwa wakati mmoja, na kugonga idadi kubwa ya malengo katika muda mfupi sana. Pia wanashangazwa na usahihi wa shabaha zetu - jinsi tulivyoweza kufikia shabaha nyingi kwa usahihi kabisa kudadeki, na kudhoofisha malengo yao. Mbali, na kufanya hivyo bila kuwadhuru raia au kusababisha uharibifu wa Mali za raia."

"Operesheni hii ilichukua miezi ya maandalizi," alisema, akiangazia ukusanyaji mkubwa wa kijasusi, utambuzi wa walengwa, na upangaji wa maeneo ya kuwagonga ambao ulifanikiwa. Mbali na mashambulizi ya anga, IDF pia ilitumia mizinga kutoka kwa mitambo maalum kadhaa, ambayo ililenga maeneo mbalimbali nchini Lebanon.

Hezbollah still in shock, assessing damage from Israel's pre-emptive strike - IDF colonel Colonel Anan Abbas said the IDF meticulously prepared the preventative attack on Hezbollah's rocket launchers for months.​

By AVI ASHKENAZI AUGUST 27, 2024 21:52

IDF photos of strikes on Hezbollah targets are seen over the view of smoke rising from Lebanon (illustrative) (photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT, VIA REUTERS)

Colonel Anan Abbas, Head of Control at the Northern Command's central operations room, revealed in an interview with Maariv on Tuesday that the recent operation against Hezbollah required months of meticulous preparation. "Hezbollah is trying to assess the extent of the damage they've sustained," he said.

"We attacked thousands of launchers and crippled Hezbollah’s capabilities, and our operations [haven't finished yet]. It appears Hezbollah is still in shock. They're trying to comprehend the extent of the damage inflicted on them, and they’ll fully understand it in the coming days. Right now, they’re just beginning to grasp what happened and how it unfolded," Abbas explained.

Earlier in the week, the IDF emphasized that while the operation was primarily tactical, it sent powerful signals to Hezbollah—messages that could potentially lead to broader strategic shifts.

"It seems Hezbollah was genuinely surprised," noted Abbas. "Their shock comes from the sheer number of planes we deployed simultaneously, striking an overwhelming number of targets in a very short time. They're also astonished by the precision of our strikes—how we managed to accurately hit so many objectives, neutralize their assets, and do so without harming civilians or causing collateral damage."

"This operation took months of preparation," he said, highlighting the extensive intelligence-gathering, target identification, and strike planning that went into it. In addition to airstrikes, the IDF also employed artillery fire from several batteries, which targeted various locations in Lebanon.
 
Israel wamedhibiti vyombo vya habari vyote kwahyo mtalishwa taarifa za uongo mpk mkome lakini mkae mkijuia kipigo alichopgwa kimeondoka na kamanda wa kikosi Cha 8200unit amelambishwa mchanda hila ww unaetegemea taarifa za west peke yake bila kutafuta source nyingne endelea kudanganywa hvyo hvyo
 
Kwani lini Israel wamekubali kuwa wamepigwa... Siku zote wao hawapigwi ila askari wanazidi kwisha mpaka wanatumia mamluki rejea mtanzania aliyekufa kambini japo mengi yamesemwa ila ukweli unabaki pale pale,,,
 
Ungezaliwa kipindi cha mudy ungekuwa swahaba wake na uliyoongea haoa tungeyakuta kwenye Quran
 
Kwahiyo tukuamini wewe kama nani?
 
Ungezaliwa kipindi cha mudy ungekuwa swahaba wake na uliyoongea haoa tungeyakuta kwenye Quran
Nyie wote ni watumwa wa kifikra hata akitokea myahudi anataka akoe utakubali
 
Israel wamedhibiti vyombo vya habari vyote kwahyo mtalishwa taarifa za uongo mpk mkome lakini mkae mkijuia kipigo alichopgwa kimeondoka na kamanda wa kikosi Cha 8200unit amelambishwa mchanda hila ww unaetegemea taarifa za west peke yake bila kutafuta source nyingne endelea kudanganywa hvyo hvyo
Kwanini wafia dini mnapenda ubishi na uwongo eti israel imeweka mpaka picha mnabisha
 
Kwani lini Israel wamekubali kuwa wamepigwa... Siku zote wao hawapigwi ila askari wanazidi kwisha mpaka wanatumia mamluki rejea mtanzania aliyekufa kambini japo mengi yamesemwa ila ukweli unabaki pale pale,,,
Hakuna mtanzania aliyetumiwa kama mwanajeshi wa israel embu muogope Allah wako au anawaruhusu kusema uwongo na kuwa wabishi
 
Kanali Anan Abbas, Mkuu wa Udhibiti katika chumba kikuu cha operesheni cha Kamandi ya Kaskazini, alifichua katika mahojiano na chombo cha habari cha Maariv siku ya Jumanne kwamba operesheni ya hivi majuzi dhidi ya Hezbollah ilihitaji miezi ya maandalizi ya kina. "Hezbollah inajaribu kutathmini kiwango cha uharibifu waliopata," alisema. Yaani kuua ''Jogoo na mitetea kweli? ''

"Tulishambulia maelfu ya virushia roketi na kulemaza uwezo wa Hezbollah na walilegea haswa nyororo, na shughuli zetu [bado hazijakamilika]. Inaonekana Hezbollah bado wako katika mshtuko. Wanajaribu kufahamu ukubwa wa uharibifu walioupata, na watajua hawajui. watakuja elewa katika siku zijazo, kwa sasa wanaanza kufahamu kilichotokea na jinsi kilivyotokea," Abbas alieleza.

Mapema wiki hii, IDF ilisisitiza kuwa ingawa operesheni ilikuwa ya mbinu, ilituma ishara zenye nguvu kwa Hezbollah-ujumbe ambao unaweza kusababisha mabadiliko mapana ya kimkakati.

"Inaonekana Hezbollah ilishangazwa kwa dhati," alibainisha Abbas. "Mshtuko wao unatokana na idadi kubwa ya ndege tulizorusha kwa wakati mmoja, na kugonga idadi kubwa ya malengo katika muda mfupi sana. Pia wanashangazwa na usahihi wa shabaha zetu - jinsi tulivyoweza kufikia shabaha nyingi kwa usahihi kabisa kudadeki, na kudhoofisha malengo yao. Mbali, na kufanya hivyo bila kuwadhuru raia au kusababisha uharibifu wa Mali za raia."

"Operesheni hii ilichukua miezi ya maandalizi," alisema, akiangazia ukusanyaji mkubwa wa kijasusi, utambuzi wa walengwa, na upangaji wa maeneo ya kuwagonga ambao ulifanikiwa. Mbali na mashambulizi ya anga, IDF pia ilitumia mizinga kutoka kwa mitambo maalum kadhaa, ambayo ililenga maeneo mbalimbali nchini Lebanon.

Hezbollah still in shock, assessing damage from Israel's pre-emptive strike - IDF colonel Colonel Anan Abbas said the IDF meticulously prepared the preventative attack on Hezbollah's rocket launchers for months.​

By AVI ASHKENAZI AUGUST 27, 2024 21:52

IDF photos of strikes on Hezbollah targets are seen over the view of smoke rising from Lebanon (illustrative) (photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT, VIA REUTERS)'S UNIT, VIA REUTERS)
IDF photos of strikes on Hezbollah targets are seen over the view of smoke rising from Lebanon (illustrative) (photo credit: IDF SPOKESPERSON'S UNIT, VIA REUTERS)

Colonel Anan Abbas, Head of Control at the Northern Command's central operations room, revealed in an interview with Maariv on Tuesday that the recent operation against Hezbollah required months of meticulous preparation. "Hezbollah is trying to assess the extent of the damage they've sustained," he said.

"We attacked thousands of launchers and crippled Hezbollah’s capabilities, and our operations [haven't finished yet]. It appears Hezbollah is still in shock. They're trying to comprehend the extent of the damage inflicted on them, and they’ll fully understand it in the coming days. Right now, they’re just beginning to grasp what happened and how it unfolded," Abbas explained.

Earlier in the week, the IDF emphasized that while the operation was primarily tactical, it sent powerful signals to Hezbollah—messages that could potentially lead to broader strategic shifts.

"It seems Hezbollah was genuinely surprised," noted Abbas. "Their shock comes from the sheer number of planes we deployed simultaneously, striking an overwhelming number of targets in a very short time. They're also astonished by the precision of our strikes—how we managed to accurately hit so many objectives, neutralize their assets, and do so without harming civilians or causing collateral damage."

"This operation took months of preparation," he said, highlighting the extensive intelligence-gathering, target identification, and strike planning that went into it. In addition to airstrikes, the IDF also employed artillery fire from several batteries, which targeted various locations in Lebanon.
Mnatuletea makamanda wa Israel ndio wachambue habari. Ikiwa US kakiri mziki wa Hezbullah ilibidi amsaidie Israel. Hivi we kama maneno ya Israel na huyo General wao ni kweli wanacho sema US Anglesema kamsaidia Israel.

Mnatuonyesha hizo launcher mbili mlizo piga na Nasurlah kasema walipiga hizo launcher mbili,bada ya kumaliza operation yao na pia alisema pia kule kwenye mito ya walikuwa na launcher za zamani hawana shida nazo. Waliziwacha Hezbullah nadhani zilikuwa out of order, kama launcher ndio labda wamezipiga, lakini wamepiga launcher 2 tu, bada ya kumaliza operation yao. Mimi na Waisraeli wengi tanamuamini Nasurlah kuliko viongozi wa Israel na propoganda zao.
 
Israel wamedhibiti vyombo vya habari vyote kwahyo mtalishwa taarifa za uongo mpk mkome lakini mkae mkijuia kipigo alichopgwa kimeondoka na kamanda wa kikosi Cha 8200unit amelambishwa mchanda hila ww unaetegemea taarifa za west peke yake bila kutafuta source nyingne endelea kudanganywa hvyo hvyo
Tuwekee hiyo source yako usije na habari za vijiweni huko msikitini
 
Kwani lini Israel wamekubali kuwa wamepigwa... Siku zote wao hawapigwi ila askari wanazidi kwisha mpaka wanatumia mamluki rejea mtanzania aliyekufa kambini japo mengi yamesemwa ila ukweli unabaki pale pale,,,
Ushahidi Uko wapi au unabwabwaja tu?!
 
Israel wamedhibiti vyombo vya habari vyote kwahyo mtalishwa taarifa za uongo mpk mkome lakini mkae mkijuia kipigo alichopgwa kimeondoka na kamanda wa kikosi Cha 8200unit amelambishwa mchanda hila ww unaetegemea taarifa za west peke yake bila kutafuta source nyingne endelea kudanganywa hvyo hvyo
Kwani wewe unaripoti ukiwa Haifa au kwenye milima ya Golan lakini mbona naona kama uko hapo Dumila stendi. Waswahili tabu sana.
 
Mnatuletea makamanda wa Israel ndio wachambue habari. Ikiwa US kakiri mziki wa Hezbullah ilibidi amsaidie Israel. Hivi we kama maneno ya Israel na huyo General wao ni kweli wanacho sema US Anglesema kamsaidia Israel.

Mnatuonyesha hizo launcher mbili mlizo piga na Nasurlah kasema walipiga hizo launcher mbili,bada ya kumaliza operation yao na pia alisema pia kule kwenye mito ya walikuwa na launcher za zamani hawana shida nazo. Waliziwacha Hezbullah nadhani zilikuwa out of order, kama launcher ndio labda wamezipiga, lakini wamepiga launcher 2 tu, bada ya kumaliza operation yao. Mimi na Waisraeli wengi tanamuamini Nasurlah kuliko viongozi wa Israel na propoganda zao.
Wewe ukileta news zako from nduguzo zinaongelea upande wa pili. so we are using the same logic
 
Hakuna mtanzania aliyetumiwa kama mwanajeshi wa israel embu muogope Allah wako au anawaruhusu kusema uwongo na kuwa wabishi
Permitted lying. (Sahih Muslim 6303, Bukhari 49:857)
Fighting is obligatory for you, much as you dislike it. - 2:216
 
Back
Top Bottom