STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
- Thread starter
-
- #21
Na wenyewe wakiskia mtu anajita myahudi wanaweza wakamuua mtu huyo, jamaa wanajiona bora kuliko binaadam mwengine wakati wao ndio walioko chini zaidi ya chini maana hata mjumbe wao Yesu walimkimbizaMkuu hapa Tanzania kuna Watanzania Waarabu na kuna Watanzania Waajemi. Wayahudi sidhani!
Anayeshabikia Waarabu/Waajemi sioni tatizo. Tatizo lipo kwa anayeshabikia Wayahudi nadhani hao ndiyo wanaoangukia kwenye ukarasa wa dini [emoji41]
Israel had 40 years to strike Iran. When Iran was at its weakest, it didn't get struck. Israel cannot even strike Lebanon, you're talking about Iran ?Iran akianza kulizwa, mtu asiingilie, tusisikie mtu analia lia, sasa hivi Iran itakuwa nyekundu. Majibu ya Israel subiri muone.
KUMBUKA JANA HEZBULLAH WALIRUSHA ROCKET NA KUONYA ISRAEL KUWA IKISHAMBULIA TENA LEBANON BASI ITALAJIE KICHAPO KWA MKWARA HUO ISRAEL IKAOGOPA KUJIBU MAPIGO. JE KAMA WANAIYOGOPA HEZBULLAH NDIO WATAWEZA KWA IRAN. KICHAPO CHA JANA kutoka kwa hezbullah angalia chini hapaView attachment 1884683
Hayo makombora yangekuwa yamerushwa na hamas saa hz kushawaka hila kwa Hezbollah wanajifanya wanaogopa kuua raia wakati parestina wanapiga hadi hospitalIsrael ana visasi viwili, kwanza hizbullah cha juzi bado ajalipiza, kingine cha Iran cha wiki iliyopita sasa sjui ataanza na wapi
Wasabato ni Wayahudi.Mkuu hapa Tanzania kuna Watanzania Waarabu na kuna Watanzania Waajemi. Wayahudi sidhani!
Anayeshabikia Waarabu/Waajemi sioni tatizo. Tatizo lipo kwa anayeshabikia Wayahudi nadhani hao ndiyo wanaoangukia kwenye ukarasa wa dini [emoji41]
Samahani!Wasabato ni Wayahudi.