Hezbollah wameingia rasmi kwenye vita kumsaidia Iran

Hezbollah wameingia rasmi kwenye vita kumsaidia Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya jana magaidi wa Hezboullah kuamua kuingia vitani na Israel ili kumlinda na kumtetea bwana wao Iran, wananchi wa Lebanon wameamua kuuhama mji wa Beirut na kukimbilia miji ya mbali na mipaka na Israel kuhofia kushambuliwa na ndege-vita za Israel.

Misululu ya magari imejazana barabarani

Duh,
Kenge huwa hasikii hadi damu itoke masikioni. Hao magaidi wanafuta kumwagiwa 🔥
 
Huwa naumia sana ninapoona watu wanahangaika hivi sababu ya vita.

Niliwahi kusimuliwa na mzee wangu kuhusu wakimbizi wa Burundi maana yeye aliwahi kufanya kazi kigoma asee vita usiombe.

Moja ya kisa alichosimuliwa na mtu mmoja wa makamo anasema yeye vita ilimkuta akiwa shambani yeye na mke wake tu watoto wakiwa nyumbani.....walikimbia ovyo mke akaenda kivyake na yeye kivyake.

Akajikuta amekutana na watu wengine wakikimbia vita na hatimaye kufika Tanzania...jamaa alimwambia mzee kuwa hajui kama watoto wako salama na mke wake hakujua hadi wanakutana na mzee!!
Imagine!!! Mimi nitashabikia ccm kufurushwa tu kwa aina yoyote Ile
 
Naona makobazi yanataka ku restishwa in peace kwa lazima.
 
Hahahaa yaan hivi vituko sasa watu wako siliazi na vita migambo nao wanaingia kati ila kobaz hawajawahi kua siliazi😀
 
❗️Serikali ya Lebanon ilitoa taarifa ya kupiga marufuku "shughuli zote za kijeshi" za Hezbollah na kuamuru Vikosi vya Jeshi la Lebanon kuzuia vikundi vyenye silaha kufanya mashambulizi nje ya mipaka ya Lebanon.

Waziri Mkuu Nawaf Salam:

"Tunatangaza kupiga marufuku shughuli za kijeshi za Hezbollah na kupunguza shughuli zake katika nyanja ya kisiasa.

"Tunatangaza shughuli za kijeshi na usalama za Hezbollah kuwa haramu."

Ni hatua nzuri ya kwanza. Je, Hezbollah wataiunga mkono?
 
Attachments

  • IMG_5074.jpeg
    IMG_5074.jpeg
    161.6 KB · Views: 16
Vita sio rafiki kabisa wacha wakimbize uhai wao,
 
Ukute wenyewe wanajutia kuzaliwa huko
 
Baada ya jana magaidi wa Hezboullah kuamua kuingia vitani na Israel ili kumlinda na kumtetea bwana wao Iran, wananchi wa Lebanon wameamua kuuhama mji wa Beirut na kukimbilia miji ya mbali na mipaka na Israel kuhofia kushambuliwa na ndege-vita za Israel.

Misululu ya magari imejazana barabarani

We muosha vyoo siulikuwa unasema wamemalizwa sa Hezbullah ni kikundi nyie mnasaidiwa na nchi zote karibu za Nato pia Gulf states, Jordan na Morocco si ajabu hata India anawasaidia US na Israel.

Kwakweli Iran ni kiboko wa USA na Israel
 
Hezbollah tunayoijua sisi ni ile iliyokuwa inaogozwa na Gaidi Hassan Nasrallah na ilimalizwa na Operation BEEPER!!

Hawa waliojitokeza jana ni labda .ni mavi ya Hezbollah!¡!!!!
 
Beirut inawaka moto jioni hii wanapigwa kipigo ambacho hakijawahi kutokea huko Lebanon

Hezbollah ilifanya kosa kubwa. Lakini Lebanon ilifanya kosa kubwa zaidi kwa kuruhusu kundi hili la kigaidi kupata nguvu, kujipanga kama jeshi kamili la serikali, na kufanya mashambulizi dhidi ya nchi jirani bila wao kulichukulia hatua!!

Acha sasa wachezee kichapo cha Mbwa-koko!!
 
Attachments

  • video5850382370737234294.mp4
    1.2 MB
  • video5850382370737234299.mp4
    1.8 MB
  • video5850382370737234305.mp4
    772.7 KB
Hezbollah tunayoijua sisi ni ile iliyokuwa inaogozwa na Gaidi Hassan Nasrallah na ilimalizwa na Operation BEEPER!!

Hawa waliojitokeza jana ni labda .ni mavi ya Hezbollah!¡!!!!
Sawa msafisha vyoo naona USA na Israel wanaomba wasaidiwe na UK, France, Germany, nasikia na Italy tayari wote wanawahi kwenda muokoa America na Israel. Si mlikuwa mnamsifia huyo Superpower wenu hahaha Super power anaomba msada. Umeona zile video wanajeshi wa USA wanavyo lia hahaha aibu tupu.

Warabu wa Gulf states na washangaa sana wanamsaidia America kuangusha Missiles, drones na hata wengine wanatumia ndege zao kushambulia Iran hi vita Iran akishindwa wao watakua ni keki tu unatia kwenye chai ya maziwa.
 
Sawa msafisha vyoo naona USA na Israel wanaomba wasaidiwe na UK, France, Germany, nasikia na Italy tayari wote wanawahi kwenda muokoa America na Israel. Si mlikuwa mnamsifia huyo Superpower wenu hahaha Super power anaomba msada
Hii ni TAQIYYA huogopi hata swaumu yako kusema uongo!!!
 
Back
Top Bottom