Hezbollah yachoma tena Israel

Hezbollah yachoma tena Israel

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Ripoti ya roketi kugonga hoteli ya Gosher na roketi iligonga Barja moja kwa moja

Kombora la "Kornet" lilitua kwenye shabaha ya kijeshi karibu na makazi ya Avivim huko Magharibi mwa Galilaya.

Pia Hezbollah ilifafanua kuwa siku ya Jumatatu tarehe 07-08-2024 Mujahidina wa Islamic Resistance walilenga majengo yanayotumiwa na wanajeshi wa Israel katika makoloni ya Metulla na Al-Manara wakiwa na silaha zinazofaa.

View: https://x.com/suppressednws/status/1810376715903877261?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Msikiti TV hahahaha Tuletee na kichapo wanachopata HUKO lebanon.. makombora ya petrol against dedly missile.. Israel wanahangaika kuzima moto na Lebanon wanahangaika kuchimba makaburi na kuziko wapendwa wao kwa uwiano huu vita ikifika next year Hezbollah sijui watakuwa wamebakia wangapi tunataka Sensa.. isije ikawa kama Gaza idadi ya raia waliobaki ni wengi kuliko kabla ya vita ukiweka uwiano ya walikufa.. inamanisha Hamas wanatoa Takwimu za uongo za vifo waliodedi ni wachache mno na kai ya wachache ni hamas wenyewe.. Taqiyya muislamina
 
Hzo taarifa unazotaka ww ukiangalia BBC,CNN kote unaziona hapa zinawekwa zile taarifa zinazofichwa tusizione maana wao wanaaminisha watu kuwa hawashambuliki na Kila shambulio wao wanasema wame intercept
 
Magaidi Hezbollah wamekufa zaidi ya 500 tangu Oct 7.
 
Msikiti TV hahahaha Tuletee na kichapo wanachopata HUKO lebanon.. makombora ya petrol against dedly missile.. Israel wanahangaika kuzima moto na Lebanon wanahangaika kuchimba makaburi na kuziko wapendwa wao kwa uwiano huu vita ikifika next year Hezbollah sijui watakuwa wamebakia wangapi tunataka Sensa.. isije ikawa kama Gaza idadi ya raia waliobaki ni wengi kuliko kabla ya vita ukiweka uwiano ya walikufa.. inamanisha Hamas wanatoa Takwimu za uongo za vifo waliodedi ni wachache mno na kai ya wachache ni hamas wenyewe.. Taqiyya muislamina

View: https://x.com/suppressednws/status/1810287346438336878?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom