Hezbollah yashambulia kambi ya jeshi Kaskazini mwa Israel, ikijeruhi 18 na kuua mmoja

Hezbollah yashambulia kambi ya jeshi Kaskazini mwa Israel, ikijeruhi 18 na kuua mmoja

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
20,344
Reaction score
21,967
Hizbullah walifanya shambulizi hilo katika kujaribu kulipa kisasi milipuko ya vifaa vya mawasiliano,iliyoondoka na uhai wa watu takribani thelathini mpaka sasa na wengine wakiwa na halo mbaya.

Wavaakobazi ni kama movie za wavietinam na wamarekani,viakufa ila vinaendelea kumfuta myahudi.

Myahudi sio level za wavaa kobazi atawamaliza
Wayahudi wametoa ofa kwa waafrika,kuingizwa jeshini upande wa israel kisha watapata makazi ya kudumu israel, israel wameishiwa wanajeshi,wameenda wapi?!..juzi wakilazima wale wayahudi wasiopigana vita waingizwe jeshini
 
Kobazi maamuzi yao ni kama wamekatwa vichwa
Maamuzi ya Netanyau ndio kama kakatwa kichwa yeye anawaza kuua mpaka asie kuwemo matokeo yake ndio hayo na ipo siku atapiga nyuklia maana mentally hayuko sawa na jeshi zima, kuna wakati wanajeshi wake wanaweza kuchapa shaba jengo zima ambalo halina mtu huko gaza mpaka matundu alafu anakaa chini anaanza kulia yaani wako frustrated hao IDF maiti zinatisha alafu wengi ni vitoto vya ef 2000, sasa apo nani ana maamuzi ya kama hana kichwa.
 
Sasa umeandika kwa kwa akili za kichwani au makalio
 
Kwa nini mkuu?.. israel kanadi kubadili mwelekeo wa vita, kikosi toka gaza kimeelekea kaskazini mpakani na lebanon
Mimi nashangaa wanaofatilia hezbollah na Israel kana kwamba hawana kazi za kufanya.Israel yupo hapo toka 1947 na 29 November mwaka huu wanatimiza miaka 77.
 
Back
Top Bottom