Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote.
IDF na mossad wanatisha Ndugu zangu. Huko Kusini mwa Lebanon ambalo ndiyo makao makuu ya Hezbollah hakukaliki Wala hakulaliki kabisa huku hofu kubwa ikitanda.
Wameamua kufanya maamuzi mazito ya kuwakimbiza haraka maofisa wao waandamizi na vifaa vizito vya kijeshi kusikojilikana wakihofia ndege za IDF zinazoperuzi bila hofu kwenye anga ya Lebanon.
Mungu ibariki Israel.
Vyanzo vya habari vya Kiarabu vinaripoti kuwa Hezbollah inawahamisha maafisa wake wakuu kutoka ngome za kundi hilo la kigaidi katika vitongoji vya kusini mwa Beirut, kwa kutarajia mashambulio ya Israeli.
Kundi hilo linaloungwa mkono na Iran pia limeripotiwa kuhamisha vifaa vya kijeshi walivyohifadhi katika viunga vya Beirut hadi maeneo ya mbali zaidi.
Soma zaidi: Mpaka sasa Israeli imeua nusu ya makamanda wa Hezbollah huko Kusini mwa Lebanon