Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Hodi humu japo nimeshaingia tayari, naomba mnipokee Bantu lady hapa.
Najiunga nanyi wana chit-chat. Natanguliza shukurani.

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hodi humu japo nimeshaingia tayari, naomba mnipokee Bantu lady hapa.
Najiunga nanyi wana chit-chat. Natanguliza shukurani.
karibu bibie naitwa amu namtambulisha muchumba wangu Jerrymsigwa
Eeh... amu. .. kimya kimya jamaa... hata husemi Jerrymsigwa ashafanikiwa!!!
Mkuu we umejuaje haya maneno usintie shaka bwana
Karibu xana Bantu lady its Nicky Sean hapa can we make friend?!
Mwaaaah:*:*:*
Mkuu we umejuaje haya maneno usintie shaka bwana
karibu bibie naitwa amu namtambulisha muchumba wangu Jerrymsigwa
karibu?upo single au?