Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
- #21
Karibu sana Chit Chat...
Asante sana watu8,nimeshakaribia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana Chit Chat...
Asante. hahahaaaa hilo swali mmmh!!!
Eeh... amu. .. kimya kimya jamaa... hata husemi Jerrymsigwa ashafanikiwa!!!
funguka basi jamani nifunguke
Hebu weka hapa sifa zako kwanza. hahahaa
itabidi tukutane bhana PM hapa wengi wanachungulia
Mmmmmmh!!!!!
mbona umejibu na mguno au ndo kujibu kwa hisia
karibu best
Asantee luv
umeshakaguliwaa?
ntakueleleza bdae ila ukisikia neno hilo likatae kwa nguvu zotee
Haya karibu wenyeji tupo.Hodi humu japo nimeshaingia tayari, naomba mnipokee Bantu lady hapa.
Najiunga nanyi wana chit-chat. Natanguliza shukurani.