Hi fashion/style ya uvaaji mpaka leo nmeshindwa kuielewa kabisa.sijui na dada zetu nao wanasemaje katika hili

Hi fashion/style ya uvaaji mpaka leo nmeshindwa kuielewa kabisa.sijui na dada zetu nao wanasemaje katika hili

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,651
Reaction score
14,337
Wakat flan nawaza nasema labda ndo uzee nao unakuja kwa speed ya 4G. Maana kuna vitu mi vilinishinda toka niko mdogo.

Nmekutana na jamaa mmoja kavaa nguo zake ni nzuri tu zingeweza mpendeza. Ila sasa ukimtizama hivi suruali yake ya jeans unaweza patwa na mashaka makubwa. Jamaa amenipita akawa mbele yangu nikapata nafasi ya kumtizama vizuri.nikashangaa jamaa anatembea utadhan amejinyea. Suruali huku nyuma imeshuka chini utadhan ana mapu**u makubwa. Why vijana?why do ya do that?

Wadada...nyie mna maoni kuhusiana na huu uvaaji wa baadhi ya akina kaka kuva suruali kama wamejisaidia.au ndo fashion mnazo washauri?
 
Kwa kijana haina mshangao ila angekua mzee ingekua kali ya karne....

Halafu hukumpiga hata picha ili iambatane na uzi wako....
Lol.
 
Inakera zaidi ainame, ule mstari wa ikweta uonekane....ptyuuu
 
kujikuta Bieber...
yawezekana yeye alikuwa na busha kipibdi hiko wao wanaiga
 
Back
Top Bottom