Hi! Galz u know me?

Horniness in the air,
Throw up your hands like you dont care!
 
Ni kweli mazee jamaa sio mzee
katika michano isyo na mfano,
Ngoja niishie hapa asije ntoa sharubu,
Nikaja aribu.

Hahaha! Mpwa inaelekea ulipokuwa form 2B ulipata B ya kiswahili.
 
Yap man kimtindo,
just another form of expression,
formed by fellow brothers to fight oppression,
but also to show appreciation.

Subiri Blurei aamke muanze kuchana mashairi kwa pamoja.
 
na wewe nguli inawezekana uko kwenye hili game la hip hop ..michano live
kwenye mieleka na kina cena upo ..PF yako pls
 
na wewe nguli inawezekana uko kwenye hili game la hip hop ..michano live
kwenye mieleka na kina cena upo ..PF yako pls

Niliwaeleza wakafikiri nimeteleza,
Au wa walitaka mama niwe kilaza,
Lazima wakiri noma kwa Tambaza,
Ni chama kubwa mpaka Angaza,
Wanakiri kwa kufikiri juu ya huu utitiri wa vina.
 
Niliwaeleza wakafikiri nimeteleza,
Au wa walitaka mama niwe kilaza,
Lazima wakiri noma kwa Tambaza,
Ni chama kubwa mpaka Angaza,
Wanakiri kwa kufikiri juu ya huu utitiri wa vina.

hahahah hehee hulalalala binamu nimeshangaa
 
Nguli, unatumia mistari kumfurahisha Firstlady1 ili iweje?

Inabidi tukupe competition usiondoke na hicho kitu hivi hivi

nimesoma shairi nikajaa huzuni
kwani dhahiri haya mambo ya uhuni
kumtungia firstlady shairi, eti la kwako kubuni
tangu lini ukawa mshairi kama tu sio uhuni
 

Unapata huzuni kwa ushairi je ukichukuliwa mke?
Wanaume hatusononeki hasa sis wa Temeke,
Shairi ka shubiri,subiri na ufikiri,
 
Unapata huzuni kwa ushairi je ukichukuliwa mke?
Wanaume hatusononeki hasa sis wa Temeke,
Shairi ka shubiri,subiri na ufikiri,


Huzuni niliyo nayo, unampotosha dada
unataja swala la mke, ili ubadilishe mada
uume si kutoka Temeke, ni kubeba majukumu
nashangaa ulitaja mke, nalitema kando si sumu
 
Yap man kimtindo,
just another form of expression,
formed by fellow brothers to fight oppression,
but also to show appreciation.

Dah si mchezo unapangilia vina sawa sawa kabisa
 
hongereni kwa mistari jamani, mnatisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…