Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Horniness in the air,
Throw up your hands like you dont care!
Ni kweli mazee jamaa sio mzee
katika michano isyo na mfano,
Ngoja niishie hapa asije ntoa sharubu,
Nikaja aribu.
Mzee unapenda sana michano eeeeh?
Yap man kimtindo,
just another form of expression,
formed by fellow brothers to fight oppression,
but also to show appreciation.
Na nilikulia mamndenyi
Karibu na kenyi, au keni.
Yaap nilikuchokoza makusudically
na wewe nguli inawezekana uko kwenye hili game la hip hop ..michano live
kwenye mieleka na kina cena upo ..PF yako pls
Niliwaeleza wakafikiri nimeteleza,
Au wa walitaka mama niwe kilaza,
Lazima wakiri noma kwa Tambaza,
Ni chama kubwa mpaka Angaza,
Wanakiri kwa kufikiri juu ya huu utitiri wa vina.
Nguli, unatumia mistari kumfurahisha Firstlady1 ili iweje?
Inabidi tukupe competition usiondoke na hicho kitu hivi hivi
nimesoma shairi nikajaa huzuni
kwani dhahiri haya mambo ya uhuni
kumtungia firstlady shairi, eti la kwako kubuni
tangu lini ukawa mshairi kama tu sio uhuni
Unapata huzuni kwa ushairi je ukichukuliwa mke?
Wanaume hatusononeki hasa sis wa Temeke,
Shairi ka shubiri,subiri na ufikiri,
Yap man kimtindo,
just another form of expression,
formed by fellow brothers to fight oppression,
but also to show appreciation.