Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Karibu dear. Kwa mbebisho wa nguvu, nichek inbox...[emoji8] [emoji8] pirates Lily tukutane kuleee jukwaa la mausiano [emoji33] [emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu dear. Kwa mbebisho wa nguvu, nichek inbox...[emoji8] [emoji8] pirates Lily tukutane kuleee jukwaa la mausiano [emoji33] [emoji8]
Pro. naona mambo yako sio mabaya unajitahid kuwakaribisha vijna eee🙂🙂🙂Karibu sana.
Ohooooo!!!mkuu hivi umeichungulia hiyo avatar ya mgeni?Pro. naona mambo yako sio mabaya unajitahid kuwakaribisha vijna eee🙂🙂🙂
ndugu yangu weeee acha bhana nimetupia kajicho nikasema acha ni nyamaze maana wana weza kunisaa nane bureOhooooo!!!mkuu hivi umeichungulia hiyo avatar ya mgeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndugu yangu weeee acha bhana nimetupia kajicho nikasema acha ni nyamaze maana wana weza kunisaa nane bure
au unataka nipotezwe muhuni wako mana hawana dogo hawa utasikia alikuwa anamendea mtt wa kigogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]