kaka _Eddo
Member
- Jul 13, 2018
- 11
- 1
mm nimember mpya mara nyingi xana nilikuwa natamani kujiunga ila ilishindikana ila leo nimefanikiwa naombeni muongozo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unapatikana Mkoa Gani?mm nimember mpya mara nyingi xana nilikuwa natamani kujiunga ila ilishindikana ila leo nimefanikiwa naombeni muongozo
Huo muandiko wako mbona unatia mashaka?Geita ila kwa xx nipo dodoma chuo
Geita sehem gani...Geita ila kwa xx nipo dodoma chuo
Vip unahusika...?Town hapo hapo
Muandiko wa facebook kabisa amekujanao.Huo muandiko wako mbona unatia mashaka?
Mkuu upo Dodoma chuo gani?Geita ila kwa xx nipo dodoma chuo
Dah....kaLibu kaka_Eddo...naww .jickie upo om..au co?...Abali ya Dom? [emoji37] [emoji13] [emoji87]co mbaya kila mmoja ana uhuru wakufikilia naww ndo umefikilia ukamaliza
Pia anakalibishwa CHAPUTA akachukue form mapema kwani zimebaki chache[emoji125][emoji125][emoji125]Dah....kaLibu kaka_Eddo...naww .jickie upo om..au co?...Abali ya Dom? [emoji37] [emoji13] [emoji87]
hata wewe pia unatia mashaka!Huo muandiko wako mbona unatia mashaka?
😂😂😂Dah....kaLibu kaka_Eddo...naww .jickie upo om..au co?...Abali ya Dom? [emoji37] [emoji13] [emoji87]
Natia mashaka Gani .Mkuu?hata wewe pia unatia mashaka!
hatareeeeeeeee.........Geita ila kwa xx nipo dodoma chuo